WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 1,500 WAJIUNGA NA UVCCM NA CCM TAWI LA CHSS, IDS CI UDOM

 


Na mwandishi wetu

Katibu wa NEC Siasa na uhusiano wa kimataifa SUKI CCM Taifa Ndg RABIA ABDALLA HAMID leo tarehe 06.04.2024 amewapokea wanachama wapya zaidi ya 1,500 katika mkutano mkuu wa tawi la CHSS, IDS na CI UDOM.


"Chama cha siasa kinahitaji wanachama wapya Zaidi, sisi CCM tunajivunia ninyi mmejiunga na Chama cha Mapinduzi na Jumuiya ya UVCCM, hamjakosea hapa mpo sehemu sahihi sana, endelezeni wema na mema yote ya Chama cha Mapinduzi" alisema Rabia Abdallah Hamid Katibu wa NEC Siasa na uhusiano wa kimataifa SUKI CCM Taifa.


SISI TUNASIMAMA NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN.FURAHA YETU, SAMIA WETU 2025 #Vitendovinasauti #TunaendeleaNaMama

Post a Comment

0 Comments