WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO WA WABUNGE

 


Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo Aprili 02, 2024 ameongeza Mkutano wa Wabunge wote uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Msekwa bungeni, jijini Dodoma. Viongozi wengine waliohudhuria kikao hicho Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Naibu Spika Mhe. Mussa Azan Zungu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama.
Post a Comment

0 Comments