WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUTURISHA WABUNGE KATIKA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA

 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (Mb), afuturisha wabunge katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.


Futari hiyo ili  hudhuriwa pia na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson ( Mb) na Katibu wa Katibu wa Bunge la Tanzania Ndg. Nenelwa Mwihambi (Ndc) tarehe 05 Aprili 2024.


Post a Comment

0 Comments