WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU MALECELA KUMTAKIA KHERI YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela  alipokwenda  nyumbani kwa Mheshimiwa Malecela eneo la Uzunguni jijini Dodoma kumtakia heri  ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, Aprili 19, 2024. Kulia ni mke wa Mzee Malecela Ambaye pia ni Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela.

Post a Comment

0 Comments