WAZIRI NDEJEMBI ATAKA MATOKEO CHANYA KATIKA UTENDAJI KAZI

 


Na mwandishi wetu

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri wa mkuu anayeshughulikia masuala ya kazi,vijana,Ajira na wenye Ulemavu Mheshimiwa Deogratius Ndejembi amewataka Ofisi yake kuimarisha utendaji kazi ili kuleta matokeo chanya na yenye tija Katika kuwahudumia Wananchi.


Aidha,Waziri Ndejembi amesema Kuwa Wananchi wanatarajia makubwa kupitia wizara hiyo anazosimamia ikiwemo masuala ya Maendeleo ya vijana,Ajira ,ustawi wa watu wenye Ulemavu,wajiriwa,wafanyakazi na wastaafu. 

Post a Comment

0 Comments