YANGA YATISHIA KUVUNJA MKATABA NA AZAM MEDIA

 


Na mwandishi wetu

Klabu ya Yanga imetishia kusitisha mkataba na Azam Tv baada kufanya mahojiano  ambayo imeonyesha kuichafua brand ya Yanga sc


Azam Tv imeiomba msamaha klabu ya Yanga sc na kuziondoa video na maudhui yote ambayo yanapatikana kwenye Interview hiyo.Post a Comment

0 Comments