BASHUNGWA ATUMIA HELIKOPTA KUKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI.

 


Na mwandishi wetu

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa kwenye Helikopta akikagua na kujionea kazi ya urejeshaji wa mawasiliano ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam iliyoathiriwa na mvua iliyoambatana na Kimbunga Hidaya, leo tarehe 7 Mei, 2024.


Kazi hiyo ya urejeshaji wa miundombinu ya barabara na madaraja inaendelea kufanywa na timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi.


Post a Comment

0 Comments