DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR

 


Na mwandishi wetu


Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe: 15 Mei 2024.

Post a Comment

0 Comments