KATIBU MKUU UVCCM KOMREDI JOKATE URBAN MWEGELO (MNEC) AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO BUSISI

 
🗓️04 Mei,2025
📌 Mwanza

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi anayefanyia kazi zake Zanzibar Komredj Abdi Mahmoud Abdi wametembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi Mkoami Mwanza kuona maendeleo ya Mradi huo unaotekelezwa na Serikali ya Chama cha Mapinduzi ambao unaenda kutatua Changamoto ya Usafiri kwa Wakazi wa Mwanza na Mikoa jirani

#KulindaNaKujengaUjamaa
#JUMGeita
#SisiNaMamaMleziWaWana
#CCMImara
#Kaziiendelee

Imetolewa na
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa

Post a Comment

0 Comments