MAPOKEZI YA KATIBU MKUU UVCCM KOMREDI JOKATE NA NAIBU KATIBU MKUU UVCCM ZANZIBAR KOMREDI ABDI GEITA

 Na mwandishi wetu

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi anayefanyia kazi zake Zanzibar Komredi Abdi Mahmoud Abdi  wamepokelewa Mkoani Geita.  akiwa Geita Komredi Jokate  atazindua Shina la Wakerejetwa la Maafisa Usafirishaji , Kushiriki Mkutano wa shina Namba 5, Kutembelea kikundi cha wanufaika wa 4% za Halmashauti, Kukagua na kuweka jiwe la msingj Kitega Uchumi Mraddi wa CCM, Kufanya Matembelezi ya Amani pamoja na Wananchi wa Geita  Mwisho Kufanya Mkutana Mkubwa wa Hadhara Uwanja wa Shilabella tarehe 04 Mei, 2024

#KulindaNaKujengaUjamaa

#SisiNaMamaMleziWaWana

#Kaziiendelee


@jokatemwegelo

@abdimahmoud

Imetolewa na;

Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa

Post a Comment

0 Comments