MAPOKEZI YA KATIBU MKUU UVCCM KOMREDI JOKATE NA NAIBU KATIBU MKUU UVCCM ZANZIBAR KOMREDI ABDI GEITA

 Na mwandishi wetu

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) akivishwa skafu mara baada ya mapokezi Mkoani Geita tarehe 04 Mei, 2024 akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi anayefanyia kazi zake Zanzibar wamepokelewa Mkoani Geita tarehe 04 Mei, 2024


#KulindaNaKujengaUjamaa

#SisiNaMamaMleziWaWana

#Kaziiendelee


Imetolewa na;

Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa

Post a Comment

0 Comments