MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI KOMREDI REHEMA SOMBI (MNEC) KILIMANJARO.


📍 Moshi- Kilimanjaro

🗓️ 4 Mei, 2024


Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa *Komredi, Rehema Sombi Omary (MNEC)* apokelewa mkoani Kilimanjaro na Viongozi wa Chama na Jumuiya zake.


Ikumbukwe, Ndg. Sombi amefika Mkoani Kilimanjaro kwaajili ya Mwaliko wa kuwa mgeni rasmi katika tukio la Mabinti "DADAZ GALA" lililoandaliwa na Catherine Yegela Makamu wa Rais Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi(MoCUSO).

#VijanaKazini.

#SautiYenu.

#KulindaNaKujengaUjamaa.

Post a Comment

0 Comments