MATUKIO KATIKA PICHA: WAFANYAKAZI MADINI KATIKA KILELE CHA MEI MOSI DODOMA

 

Watumishi wa Wizara ya Madini wameungana na wafanyakazi wengine wa Wizara, Taasisi za Umma na Sekta Binafsi mkoani Dodoma leo Mei 01, 2024 kusherekea Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwa ngazi ya mkoa.


Maadhimisho hayo maarufu kama Mei Mosi kwa Mwaka 2024 yamebebwa na Kaulimbiu ya  *”Nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha”*Post a Comment

0 Comments