MCC KAWAIDA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAAFISA IDARA YA UHUSIANO WA KIMATAIFA WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI KUTOKA CHINA

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amefanya Kikao maalum na Maafisa ya Idara ya Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kikomunisti Cha China  tarehe 29 Aprili, 2024 Ofisi Ndogo za Makao Makuu Upanga Jijini Dar es Salaam.


#KulindaNaKujengaUjamaa

#SisiNaMamaMleziWaWana

#Kaziiendelee

Post a Comment

0 Comments