OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MOROGORO MJINI

 


Na mwandishi wetu

Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini *Mhe, Dkt. Abdulaziz M. Abood* katika mwendelezo wa ziara yake ya kukabidhi Vifaa vya mahabara na vifaa tiba kwenye zahanati  zote na vituo vya afya vyote kwenye jimbo lake ili kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma bora na inayostahili.  


Aidha *Mhe Abood* kwenye awamu hii ya tatu ya ugawaji wa vifaa vya mahabara pamoja na vifaa tiba anatarajia kukabidhi vifaa hivyo kwenye zahanati Tano 5 na kituo kimoja 1 cha Afya.


Zoezi hilo litafanyika kwenye Kata nne 4 ambazo ni; *MILIMANI, BOMA, MZINGA, U/TAIFA NA MAFISA* siku ya Jumatano *8/05/2024*


Post a Comment

0 Comments