RAIS DKT SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UFARANSA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wake katika mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024. Wa kwanza Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba pamoja na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Maendeleo ya Kitaifa ya Ufaransa Dkt. Chrysoula Zacharopoulou wakiwa wameshika Tamko la Paris katika kuimarisha ushirikiano wa Kidiplomasia na Kiuchumi baina ya nchi mbili.

Post a Comment

0 Comments