RAIS DKT SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AKIWA NI MWENYEKITI MWENZA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ni Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Afrika akishiriki Mkutano huo wa Kimataifa  tarehe 14 Mei, 2024 katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika uliofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.


Post a Comment

0 Comments