UDAHILI VYUO VYA ELIMU YA UFUNDI UMEONGEZEKA

 Na mwandishi wetu


"Serikali imeongeza udahili katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 171,581 mwaka 2022/23 hadi wanafunzi 235,804 mwaka 2023/24, ongezeko hili linatokana na kuongezeka kwa idadi ya vyuo vya elimu ya ufundi kutoka vyuo 465 (visivyo vya serikali 285) mwaka 2022/23 hadi vyuo 474 (visivyo vya serikali 294) mwaka 2023/24," - Prof Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu

Post a Comment

0 Comments