WAZIRI MKUU MAJALIWA AKITETA NA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI DKT BITEKO

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijadili jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, Mei 08, 2024

Post a Comment

0 Comments