WAZIRI NDEJEMBI NA ATE WATETA AJIRANa mwandishi wetu

WAZIRI wa nchi ofisi ya Waziri mkuu-kazi,vijana Ajira na wenye Ulemavu Mheshimiwa Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya kikao kazi cha pamoja na chama cha waajiri Tanzania ATE Jijini Dar es salaam Leo Jumamosi Mei 11,2024

Akizungumza Katika kikao hicho Mheshimiwa Ndejembi amewahakikishia ATE kuwa Ofisi ya Waziri mkuu kazi,vijana,Ajira na wenye Ulemavu itaendelea kuwa daraja kati ya waajiri na sekta zingine ili kuweza kutengeneza ajira nyingi zaidi kwa watanzania.

Wengine walioshiriki katika kikao hicho ni kamishna wa kazi-ofisi ya Waziri mkuu Bi Suzan Mkangwa na Mwenyekiti wa Bodi ya ATE Bw.Oscar Mgaya.Post a Comment

0 Comments