WAZIRI WA FEDHA MASTAAFU MKULO AFARIKI DUNIA

 Julie Mkulo*Anasikitika kutangaza kifo cha mume wake *Bw.Mustafa Mkulo* kilichotokea Leo *04-05-2024*

 Katika *hospital ya Muhimbili Dar es salaam*


Shughuli zote za mazishi zitakuwa *Msikiti Maamur* *04-05-2024*


Maziko yatakuwa jumapili *05-05-2024* Kilosa Morogoro


Taarifa zaidi zitatolewa baadae


 *Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon*


Pumzika kwa amani  Mustafa Haidi Mkulo, Waziri wa zamani wa Fedha na Mbunge wa zamani wa Kilosa.


Post a Comment

0 Comments