WIZARA YA AFYA YAWASILISHA BAJETI YA AFYA MWAKA 2024/25

 Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwasili katika viunga vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa Mwaka wa fedha wa 2024/2025 leo Mei 13, 2024.

Post a Comment

0 Comments