Mmbu Post
Mmbu blog ni blog ya Habari na Matukio ya kitaifa, kimataifa,biashara,Michezo, Burudani, magazeti,utabiri wa hali ya hewa na mengine mengi
Na mwandishi wetu *_Awataka watumie taarifa za na takwimu za sensa kuandaa mipango yao_* WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wanaotekeleza afua mbalimbali za wanawake watumie taarifa na takwimu za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2…
Read moreNa mwandishi wetu 📌 *Mradi wafikia asilimia 93.7* 📌 *Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka JNHPP wafikia 99.5%* Na Mwandishi wetu, Pwani. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa mradi…
Read moreNa mwandishi wetu Ikiwa dunia inaadhimisha Maadhimisho ya Siku Ya Mtoto wa Kike duniani Mei 17 ambayo Inatanguliwa na Siku ya Familia duniani Mei 15, Makamu Mwenyekiti Umoja wa Vijana Taifa Comrade Rehema Sombi Omar (MNEC) akiwa ameambatana na Kam…
Read moreNa mwandishi wetu Viongozi wa Parokia ya Mtakatifu Benedict Abbas iliyopo eneo la Salasala, Kata ya Wazo, Wilayani Kinondoni, wameendesha Ibada Maalum ya kumuombea aliekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Bendi ya FM Academia Malu Stonch aliyefariki Dunia…
Read more🗒️18 Mei, 2024 📍UVCCM HQ Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameshiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Magharibi B tarehe 18 Mei, 2024 #SautiYaVijana #KulindaNakujengaU…
Read moreNa mwandishi -Asema nchi za Afrika zina kila kitu lakini bado hazijawekeza vizuri katika mtaji wa kibinadamu (Human Capital). -Awataka wazazi na walimu kuwawezesha wanafunzi kutambua uwezo wao kama wanajamii wenye tija. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Sa…
Read more
Social Media