BAJETI YA WIZARA YA ELIMU KUWASILISHWA BUNGENI KESHO MEI, 07, 2024

 




Na mwandishi wetu


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda kesho Alhamisi, Mei 07, 2024 anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025


Hotuba yake itajumuisha utekelezaji na mafanikio yaliyopatikana kwenye Sekta ya Elimu kupitia Bajeti ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 pamoja na Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025


#ElimuUjuziNdioMwelekeo

Post a Comment

0 Comments