Mmbu Post
Mmbu blog ni blog ya Habari na Matukio ya kitaifa, kimataifa,biashara,Michezo, Burudani, magazeti,utabiri wa hali ya hewa na mengine mengi
Na mwandishi wetu RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya. Hayo yamesemwa leo (Mei 6, 2024) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye kikao cha dharura cha Kamati y…
Read moreNa mwandishi wetu Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na makandarasi, k…
Read moreNa WAF - RUVUMA Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tamisemi imezidi kusogeza huduma za kibingwa na Ubingwa bobezi kwa njia ya Mkoba hadi katika Afya ya Msingi kupitia Madaktari bingwa wa Rais Dkt. Samia kwa hospita…
Read moreNa mwandishi wetu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda kesho Alhamisi, Mei 07, 2024 anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Hotuba yake itajumuisha utekelezaji na mafanikio yaliyopa…
Read moreNa mwandishi wetu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia na kutekeleza mapendekezo yote yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai. “’Utashi wa kisiasa wa Mhes…
Read moreNa mwandishi wetu Waratibu wa afya ya Akili na magonjwa yasiyoambukizwa Mkoani Geita wametakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa elimu kwa wananchi juu ya kuachana na dhana ya kuwatenga watu ambao wanamatatizo ya ugonjwa wa kifafa. Kifafa huchangia seh…
Read more
Social Media