RAIS DK.MWINYI AWATEMBELEA WAJANE WA VIONGOZI

 


Na mwandishi wetu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewatembelea Wajane  wa viongozi mbalimbali akiwemo wa aliyekuwa Muasisi wa Mapinduzi  Marehemu Hafidh Suleiman  Almasi , Mjane Bi Mtumwa Suleiman Farhan nyumbani kwake Kilimani Juu , Mkoa wa Mjini Magharibi .


Pia amemtembelea Mjane wa Rais Mstaafu  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, Mjane Fatma Mohamed Hassan nyumbani kwake  Mombasa kwa Mchina, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 03 Mei 2024
Post a Comment

0 Comments