MPIGA PICHA WA AYO TV ZOOUCHY AFARIKI DUNIA

 


Mpiga picha tegemezi wa Ayo TV ya Millard Ayo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kugongwa na gari akiwa kwenye pikipiki alipokuwa anaelekea kwenye majukumu yake ya kikazi.


Pumnzika kwa amani Zoouchy, pole kwa Millard Ayo 🙏

Post a Comment

0 Comments